Mwongozo wa Maungamo (Special Edition)

Maungamo yanalengwa kuwa wakati wa uwazi na mabadiliko, nafasi ya kuonyesha kuwa tunajiaminisha kwa Mungu aliye tayari kuwasamehe watoto wake na kusaidia kuwarudisha kwenye njia ya kumfuata Yesu.

KSh1,102

60 in stock

Description

Jinsi ya Kupokea Sakramenti ya Kitubio

Maungamo yanalengwa kuwa wakati wa uwazi na mabadiliko, nafasi ya kuonyesha kuwa tunajiaminisha kwa Mungu aliye tayari kuwasamehe watoto wake na kusaidia kuwarudisha kwenye njia ya kumfuata Yesu.

– Papa Francis-

Maungamo ni tendo la uaminifu na ushupavu-tendo la kujikadidhi licha ya dhambi zetu-kwa huruma na msamaha wa Mungu anayetupenda.

-Mkakatifu John Paul II-

Mwanangu wakati wowote uangukapo, nenda haraka uungame na upatiwe mwongozo wa kiroho. Kionyeshe kidonda chako ili kipate kuponywa kabisa, na kuuondolea mbali uwezekano wowote wa kuambukizwa tena. Hata ikiwa kufanya hivi kutakufanya usikie uchungu, kama kwamba unafanyiwa upasuaji.

-Mtakatifu Josemaria Escriva, The Forge, 192-